Bomoa Bomoa jimboni kwa Askofu Gwajima | Atoa ya Moyoni

Askofu Gwajima mbunge wa Jimbo la Kawe amefika kata ya Mbweni ambako nyumba za wananchi zimebomolewa kupisha bustani ya miti. Mh Askofu Gwajima amelaani kitendo hicho na kutaka ubomoaji usitishwe mara moja. Visit Sources Channel

Bomoa Bomoa jimboni kwa Askofu Gwajima | Atoa ya Moyoni Read More »