Bomoa Bomoa jimboni kwa Askofu Gwajima | Atoa ya MoyoniAskofu Gwajima mbunge wa Jimbo la Kawe amefika kata ya Mbweni ambako nyumba za wananchi zimebomolewa kupisha bustani ya miti. Mh Askofu Gwajima amelaani kitendo hicho na kutaka ubomoaji usitishwe mara moja.

Visit Sources Channel

46 thoughts on “Bomoa Bomoa jimboni kwa Askofu Gwajima | Atoa ya Moyoni”

  1. Hakika misbah ikopogo ya aina nyingi. Na ina chanzo naona!! Poleni sote sababu ndo kidunia kabisa hata C19 NI WA DUNIA. MUNGU AYAJUA PIA SONGA MBELE KWA IMANII USIBAKI MISRI, VUKA JORDAN USINUNGUNIKE. BAKIA KUSHUKURU HATA MANA IJE NA ASALI NA MVINYO BADO VIPO. OMBEA NAFSI ISKUFURU MTU WANGU WEWE!

  2. Af kn watu wengine ni vichwa maji xn yaan kwa ujinga huu wot unaofanyika lkn BDO tu watu wanaendelea kumsema vibaya magufuli yaan inatakiwa hii nchi tunyooshwe mpaka akili ikae xw wot tuimbe wimbo mmoja …

  3. Mbona walisema hakuna maji ya kumwagilia bustani? Sasa iweje leo waseme wanaboa nyumba za watu kwaajil ya kupanda miti? Hayo maji ya kumwagilia yatatoka wapi?Ninaagiza majeshi ya kimbingu yakapambane na kila roho chafu ktk nchi hii.Mungu asiliache hili likapita hivi hivi nakusihi Mungu wa mbinguni achilia majeshi ya mbinguni yakapambane na roho hizi

  4. Hiyo ni roho ya Kaini,na muhusika atalaaniwa milele hadi vizazi vyao.Kumbuka Marko 11:12 inayosema ya kwamba,Yesu aliunenesha mti akanyauke from the roots,na usitowe matunda yoyote,kwa jina la Yesu muhusika wa kubomoa bila kuarifu wakaaji na anyauke na hiyo roho ya Kaini

  5. Yaan hki kinachoendelea ya watu wanatoka kwenye nyumba nzuri na magari ya viyoyozi kutunyanyasa iko siku na hiyo siku watataka kututuliza na wasiweze Ina uma sana

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »