Askofu Gwajima mbunge wa Jimbo la Kawe amefika kata ya Mbweni ambako nyumba za wananchi zimebomolewa kupisha bustani ya miti. Mh Askofu Gwajima amelaani kitendo hicho na kutaka ubomoaji usitishwe mara moja.
Visit Sources Channel
thirstyaffiliates-pro
domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init
action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /home/u293017571/domains/robotmaniak.com/public_html/wp-includes/functions.php on line 6114thirstyaffiliates
domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init
action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /home/u293017571/domains/robotmaniak.com/public_html/wp-includes/functions.php on line 6114content-egg
domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init
action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /home/u293017571/domains/robotmaniak.com/public_html/wp-includes/functions.php on line 6114
Askofu Gwajima mbunge wa Jimbo la Kawe amefika kata ya Mbweni ambako nyumba za wananchi zimebomolewa kupisha bustani ya miti. Mh Askofu Gwajima amelaani kitendo hicho na kutaka ubomoaji usitishwe mara moja.
Visit Sources Channel
Magufuli 😭😭
Sio gharika..
Jaman 😭😭😭😢😭😢😢😢
Askofu Gwajima natamani baadae uwe raisi wa Tanzania ni Maombi yangu.
Eee Mungu uonaye hata Yale yaliyo fichika sirini usinyamaze,!! Likumbuke taifa lako ,!!
Hivi hawawajinga wanamnahii kwanini wanalelewa hawachukuliwi hatua
Hakika misbah ikopogo ya aina nyingi. Na ina chanzo naona!! Poleni sote sababu ndo kidunia kabisa hata C19 NI WA DUNIA. MUNGU AYAJUA PIA SONGA MBELE KWA IMANII USIBAKI MISRI, VUKA JORDAN USINUNGUNIKE. BAKIA KUSHUKURU HATA MANA IJE NA ASALI NA MVINYO BADO VIPO. OMBEA NAFSI ISKUFURU MTU WANGU WEWE!
Nchi yetu hii ina viongozi wa juu wasio na utu😭 RIP JPM
Af kn watu wengine ni vichwa maji xn yaan kwa ujinga huu wot unaofanyika lkn BDO tu watu wanaendelea kumsema vibaya magufuli yaan inatakiwa hii nchi tunyooshwe mpaka akili ikae xw wot tuimbe wimbo mmoja …
Wapeleke marekani si ulisema wewe
Mbona hivo jamani????
Ni mawazo ya kishetani na kipuuzi kabisa unabomoa nyumba za watu ili kuweka bustani hovyo kabisa
Mbona walisema hakuna maji ya kumwagilia bustani? Sasa iweje leo waseme wanaboa nyumba za watu kwaajil ya kupanda miti? Hayo maji ya kumwagilia yatatoka wapi?Ninaagiza majeshi ya kimbingu yakapambane na kila roho chafu ktk nchi hii.Mungu asiliache hili likapita hivi hivi nakusihi Mungu wa mbinguni achilia majeshi ya mbinguni yakapambane na roho hizi
Hakika yupo Mungu aliyesimamisha bahati watu wakapita ninaimani hatoacha hili likapita bure vilio vya watu havitaenda bure
Mtu anaanzaje kubomoa nyumba za w2 jaman 😭😭 Mungu baba wasaidie
Duuuuuuu hatariii sanaa, rest in peace jemedali wa Africa jpm
Duuu.selikali hii jamani
Tunatawaliwa na mashetani aya
Rais wa wanyonge wapi
Gwajiboy anapambana sana
RiP JpM
Hakika tumeyakumbuka maneno yako "mtanikumbuka Kwa mema sio Kwa mabaya! RIP raisi wetu John pombe Joseph Magufuri 😭😭😭
Mungu Wewe ni Hakimu wa Haki.
Kenya bado twafanyiwa hivo
Huo ni ukuma uliotukuka sema mimi sikuwepo hapo aisee tungeheshimianaaa haki ya Mungu ningejitoa muhanga kuma nyieee
2025 ikifika kawachagueni kwa kishindo Cha 4g wawatendee zaid ya hayo
Namuona Magufuli anaishi nkiwa nakuona Baba Gwajima
Ee Mungu tusaidie wa tz tutaenda wapi mtetezi ni wewe Baba tusaidie angalia machozi yetu mitaji imekata tuna mikopo hatuelewi Mungu huwezi tuacha nyoosha mkono wako tuokoe
Alaaniwe alietoa hii amri ya kuwatoa wananchi.
Ohoooooooo God
Nasemaje raisi ajae ni gwajima
Tutakumbuka daima Jp wetu mtetezi wa wawanyonge jamani watu hata hawafikili kabisa kabla ya kutenda
Naungana na Mh.Mbunge hili halikubaliki
Hatari saaaaana.
Mbaya sana
Mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya RIP mh JPMagufuli
Hiyo ni roho ya Kaini,na muhusika atalaaniwa milele hadi vizazi vyao.Kumbuka Marko 11:12 inayosema ya kwamba,Yesu aliunenesha mti akanyauke from the roots,na usitowe matunda yoyote,kwa jina la Yesu muhusika wa kubomoa bila kuarifu wakaaji na anyauke na hiyo roho ya Kaini
So sad
Machozi ya masikini hayaendi bure
mtanikumbuka tuu mimi nyinyi
Sio sawa jamani haaa
Bustani
Baba Askofu wewe umechaguliwa kwa akili ya wanyonge sema n.a. Mungu wako Atoemajibu kwa hawa viongoziwaonevu namnahii
Yaan hki kinachoendelea ya watu wanatoka kwenye nyumba nzuri na magari ya viyoyozi kutunyanyasa iko siku na hiyo siku watataka kututuliza na wasiweze Ina uma sana
Baada ya kupotea Utu sasa ni Unyama
mh nacho kiona hatuna lais kwasasa ndomana mambo yajabu ajabu yamekua meng sabu aliyoko madalakan kwa sasa haelew kilicho muwekapale nnn